ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, December 18, 2014

MSHINDI WA BBA IDRIS AMTAMBULISHA SAMANTHA WA BBA UKWENI



Baada ya kubadilisha title na kuwa milionea, Idris ameamua kumleta nyumbani mrembo wa Afrika Kusini, Samantha au kwa lugha ya vijana wa kisasa ameamua kumfanya ‘main chick’ na kutuachia kitendawili kama Goitse Kgaswane wa Botswana na Ellah wa Uganda watakuwa ‘side chicks’ ama wamepokea kibuti rasmi.
Shocked by the size of this pineapple though. I feel like my whole life has been a lie.#tanzanianthings  pic.twitter.com/MT9eAOP6PA
— Samantha BBA HotShot (@SamanthaJay17) December 16, 2014


Samantha alitua Dar Jumatatu hii na mwenyeji wake amekuwa akimzungusha kwenye  maeneo
muhimu ya mji huu wenye joto kama jangwa la 
Kalahari. Na Samantha ameweka wazi rasmi kuwa anaipenda Tanzania. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...