Pages

Pages - Menu

Monday, January 20, 2014

WATU 9 WAFARIKI DUNIA NA 30 KUJERUHIWA KATIKA AJALI MKOANI LINDI

BASI Likiwa limeanguka na maiti bado zilikuwa hazijatolewa chini
 



 
Kamishna msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi,Renatha Mzinga akisimamia zoezi la kuinua basi hilo kwa ajili ya utoaji wa Maiti  9 za ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment