Pages

Pages - Menu

Wednesday, February 26, 2014

MSHITAKIWA WA KWANZA KESI YA UTOROSHAJI TWIGA AUGUA GHAFLA.


Twiga.

Kesi utoroshwaji wa twiga kwenda Uarabuni, imekwama baada ya mshtakiwa wa kwanza katika kesi hiyo, Kamran Ahmed, kuugua ghafla muda mfupi kabla ya kufika mahakamani hapo. 
Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, jana ililazimika kuahirisha kesi hiyo baada Wakili wa mshitakiwa huyo, Edmund Ngemela, kuieleza mahakama hiyo kwamba sukari ya mshitakiwa huyo ilipanda na kusababisha ashindwe kufika mahakamani kuendelea na kesi inayomkabili

No comments:

Post a Comment