Pages

Pages - Menu

Saturday, June 8, 2013

WASHINDI WA TUZO ZA KILI ZINAZOENDELEA USIKU HUU..


1. KIKUNDI BORA CHA TAARABU NI- JAHAZI MODERN TAARAB


2. MTUNZI BORA WA MASHAIRI YA TAARABU- THABIT ABDUL

3. WIMBO BORA WA MWAKA TAARABU- KHADIJA KOPA

4. MTAYARISHAJI BORA WA TAARABU-  ENRICO

5. MSANII BORA WA KIKE TAARABU- ISHA MASHAUZI

6. MSANII BORA WA KIUME TAARABU- MZEE YUSUPH

7.Wimbo bora wa bongo POP mshindi ni OMMY DIMPOZ
 
8. MSANII BORA ANAYECHIPUKIA NI -  ALLY NIPISHE
 
9. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - JAMBO SQUARD
 
10. MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI CHIPUKIZI WA MWAKA - MEN'S SELECTOR

11. WIMBO BORA WA BENDI - RISASI KIDOLE YAO MASHUJAA BENDI

12. MTUNZI BORA WA MASHAIRI BENDI - CHALZ BABA

13. MTAYARISHAJI BORA WA BENDI WA MWAKA - AMOROSSO

No comments:

Post a Comment