Pages

Pages - Menu

Tuesday, December 31, 2013

Goldenlz blogspot inawatakiwa wadau wote wa blog hii heri ya mwaka mpya 2014. Mwenyezi Mungu atimize ndoto za kila mmoja wetu

 ngorongoro greater  entrance point
 In the middle of hundreds of tourists visiting ngorongoro crater
 My family enjoying the view of Ngorongoro at the lunch site inside the crater
 Ngorongoro creter view point "enjoying and praising God for the wonders of creation"
 My family and i posing for a picture at the ngorongoro crater view point

Mungu akikujalia usiache kutembelea mbuga hii na mbuga nyingine za hapa Tanzania. Huwezi kuuelezea uzuri wa mbuga hizi na huwezi kuelezea furaha utakayoipata utakapokuwa unapumzika katika maeneo kama haya. Ni namna gani watalii wanafaidi uzuri wa nchi yetu? Kweli Mungu katupendelea. Ni kuamua tu na kuthubutu, si lazima uwe tajiri ili uweze kutembelea mbuga zetu. Tena kwa watoto wadogo ni bure na kiingilio kwa Watazania ni rahisi mno. Tena zipo hoteli za bei nzuri ambapo wengi wetu tunazimudu. Utalii zi kwa wageni i tu.
Familia yangu na mimi tunawatakia wote heri ya mwaka mpya 2014

No comments:

Post a Comment