Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa
kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Afya na wa Mkoa wa
Arusha, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya
kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama
na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na viongozi wa Mkoa wa Arusha wakati akiwasili kwenye
Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, Jijini Arusha kwa ajili ya
kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na
Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri wa Afya wa Rwanda, Agnes Binagwaho, baada ya
kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na
Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa na waratibu wa
mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiondoka katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC baada ya kufungua Mkutano wa
Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza
leo, jijini Arusha.
Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais
All Produck Best Promo : Agen Bola★ Agen Sbobet★ Agen Ibcbet★ Agen 368bet★ STAR855★ Asiapoker77★ Poker338a★ Tangkasnet★ NeoTangkas★ 88Tangkas★ 368MM★ Isin4D★ USOBet ★
ReplyDelete