Pages

Pages - Menu

Thursday, January 23, 2014

Maziko ya Bwanamdogo kufanyika Bagamoyo leo

 
Mke wa aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo, Pili Mohamed (katikati) akiwa nyumbani kwake eneo la Makondeko Mbezi Dar es Salaam, jana. Picha na Michael Jamson. 
*******
Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo anazikwa leo kijijini kwake, Miono Bagamoyo, maziko yanayotarajiwa kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali.
Kifo cha mbunge huyo ni pigo la pili ndani ya mwezi mmoja baada ya kufariki kwa aliyekuwa Mbunge wa Kalenga, mkoani Iringa, Dk William Mgimwa.

No comments:

Post a Comment