ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, February 19, 2014

Matukio mbalimbali mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba


PG4A0435
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 19, 2014. Kutoka kushoto ni Dominick Lyamchay, Rashid Mtuta, Consitantine Akitanda na  Fahmi Fovutwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A0417
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Februari 19,2014.
WMK
Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia) wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
2B
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
mtanda
 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
1B
 Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzie  Zitto Kabwe(kulia) na Albert mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
WAJUMBE
Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.Picha na MAELEZO-Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...