DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA WA PILI NYUMA AKIKAGUA NYUMBA ZA WAKAZI WA ENEO LAKARAKATA KATA YA KIPAWA AMBAO NYUMBA ZA ZIMEBOMOKA NA KUEZULIWA NA UPEPO MKALI |
MWENYEKITI WA MTAA WA KARAKATA MALICK AKITEMBELEA WAKAZI WALIOATHIRIKA KWA NYUMBA ZAO ZILIZOEZULIWA MAPAA |
DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA AKIWA NA UJUMBE WA SERIKA YA MTAA ALITEMBELKEA ENEO HILO |
DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA AKIWA NA UJUMBE WA SERIKA YA MTAA ALITEMBELKEA ENEO HILO |
DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA AKIWA NA UJUMBE WA SERIKA YA MTAA ALITEMBELKEA ENEO HILO |
MOJA YA NYUMBA ZILIZOEZULIWA NA UPEPO MKALI ULIOAMBATANA MVUA KUBWA ENEO LAKARAKATA KATA YA KIPAWA |
BAADHI YA MAFUNDI WAKIWA KAZINI KUNDELEA KUFANYA MATENGENEZO YA NYUMA ZAO |
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PIA KAIMU MKUU WA WILAYA YA ILALA AKIWANA UJUMBE WAKITEMBELEA BADHI YA NYUMBA ZILIZOPATA JANGA LA KUEZULIWA MAPAA YA NYUMBA |
MKUUWA WILAYA YA KINONDONIPIA KAIMU MKUU WA WILAYA YA ILALA JORDNA LUGIMBANA AKIONYESHA MOJA YA NGUZO YA NYUMBA ILIYOATHIRIWA NA MVUAPAMOJA NA UPEPO MKALI NA KUEZUA MAPAA YANYUMBA ZIPATO 42ENEOLAKARAKATA KATA YA KIPAWA JIJINI DAR ESSALAAM LEO |
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI NA PIA KAIMU MKUU WA WILAYA YA ILALA JORDAN LUGIMBANA AKIMPA POLE GODBETES ELIASI ALIANGUKIWA NA TOFALI WAKATI MVUA KUBWA NA UPEPO ILIYOEZUIA NYUMBA YAKE KARAKATA |
MAMA HUYU ANAEJE ULIKANA KAMA GODBET ELIAS AKIONYESHA SEHEMU YA KICHWANI BAADA YA KUSHONWA HOSPITALI YA AMANA KUTYOKANA NA KUANGUKIWA NA TOFALI WAKATI WA UPEPO MKALI NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA JANANA KUEZUA VIPA VYA NYUMBA ZIPATO 42 AMBAZO WAKAZI HAO HAWANA PAHALA PA KUISHI NA MAMA HUYU ALIANHUKIWA NA TOFALI AKIWA ANAKIMBIA NA MTOTO WAKE MCHANGA BAADA YA NYUMBA YAKE KUEZULIWA KIPAA NA UKUTA KUANGUKA MATUKIO HAYO YAMETOKEA ENEO LA KARAKATA SHAMBA JANA |
MAGOMENI KONDOA KARIBU NA DDC |
MAGOMENI KONDOA KARIBU NA DDC |
TANDALE KWA MTOGOLE |
TANDALE KWA TUMBO |
ENEOLA BAMAGA MAJIYALIVYOJAA MVUA |
ENEO LAMAKUTANO YA BARABARA YA BAGAMOYO NA SHEKILANGO BAMAGA. |
No comments:
Post a Comment