Jana
nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar wa Bongo, Diamond
Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani
kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha
yake kupitia mtandao wa Jestina George. Check him out below.
No comments:
Post a Comment