Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori akielekezea namna shirika hilo lilivyoanza kufanya
kazi zake mpaka kufikia leo hii linapotimisha miaka 50,wakati
akiwasilisha Mada yake kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50
ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya
pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) la Nchini Kenya,Adan Mohamed akiongoza kikao hicho leo kwenye Mkutano
wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana
na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa
wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada yake iliyohusu mambo ya
Uwekezaji,kwenye Mkutano wa nne wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na
Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo
kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha Pili kwa siku ya leo cha Mkutano
wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Prof.
Mussa Assad akizungumza jambo wakati akiweka sawa taratibu za uchangiaji
katika kikao cha Mkutano huo, unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori akisisitiza jambo wakati wa kujibu baadhi ya maswali
ya Wadau wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50
ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya
pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti
Mpya wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii
(SSRA),Juma Ally Muhimbi akifatilia mada mbali mbali zinazoendelea
kutolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF
ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Wadau mbali mbali wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiuliza mashali.
Waheshimiwa Wabunge wakiwa kwenye Mkutano huo.
Wadau mbali mbali wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakifatilia kwa makini mkutano huo
No comments:
Post a Comment