Mh.Rais Kikwete ametokea kutaja tena jina la Diamond Platnumz,
akiongelea mengi waliofanya kipindi walipokutana na mkali huo wa
AfroPop, Diamond Platnumz, akiwa anafunguka wakati alipokuwa anaongea na
wasanii kule jijini Dodoma, jambo la kushangaza zaidi ambalo kila mtu
hakuweza kuamini ni pale Mh. Rais alipokuwa anataja wasanii wakubwa
mbali mbali akiwemo, Ludacris,Trey Sings, Lil Wayne, Usher Raymond na
wengine wengi tena pamoja na mameneja wao.
Mh.Raisi alizidi kufunguka kwa jinsi Diamond Platnumz
alivyomfurahisha katika uwakilishi wake wa tuzo za Mtv “Nilikutana na
Diamond Nje ya nchi, nikamkaribisha lunch akaniambia amekuwa nominated
kwenye tuzo za MAMA na za BET, nimeangalia MAMA, Diamond hakushinda ila
aliperform vizuri sana na watu wakamfurahia sana”- alifunguka Mh.Raisi.
Nadhani hakutakuwa kutokea na Raisikama huyu mwenye kujua mambo mengi
kuhusu sanaa, ni raisi wa kipekee ambaye anafaa hata kuwa meneja wa
wasanii.
No comments:
Post a Comment