ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, January 14, 2013

Sherehe ya kuoga Uchi katika Mto Ganges yaanza leo

  
Waumini wa dini ya Kihindu wakienda kuoga ili kujitakasa na dhambi walizotenda
 
 
  
Mamilioni ya Wahindu wakiwa wamejipaka majivu tayari kuingia mtoni kuoga
  
Waumini wa dini ya Kihindu wakishangilia baada ya kuosha dhambi zao mtoni
  
Msichana wa Kihindu akioga kuondoa dhambi
  
  
Baba akimwogesha wanae
  
Waumini wa Kihindu wakisali kwa Uchaji mkubwa
 
Akina mama nao huchanganyika na wanaume wakati huo wa kutakasa dhambi zao kwa maji
   
Makuhani wa wakiongoza ibada
 
 
 
Inatarajia hadi leo usiku watu milioni 11 watakuwa wameoga
 
  
Baada ya kuoga wateule hubeba maji kwenye vyungu vya vhuma kupeleka mahekaluni
 
Mamilioni ya watu wanafurika usiku na mchana. Utakaso huu huchukua siku 55 hivyo umeanza leo na kumalizika March 5
 
Kutokana na wingi wa watu, treni kama unavyoona zinakuwa zimepakia hadi dereva hapati pa kuangalizia. Kila penye upenyo panakaa mtu isipokuwa tu kwenye magurudumu
   
 
Hii ni treni ya umeme ambamo watu wameshindwa kupanda juu lakini pembeni wamenyomi



ALLAHABAD, India, Mamilioni ya wai wa dini ya Hindu leo Jumatatu wameanza hija yao ya kuoga katika makutano ya mito mitatu ya Ganges, Yamuna na Saraswati inapokutana. Kwa mujibu wa Imani ya Kihindu, binadamu anakuwa ametenda dhambi nyingi katika mzunguko wa mwaka na hivyo anahitaji kutakaswa na dhambi zake. Waumini wanaume wanajipaka majivu kuanzia utosini hadi unyayo na mara nyingi wanakuwa uchi wa mnyama ingawa sikuhizi wengine wanapendelea kuvaa pajama, wanaingia kwenye mto huo na kuoga nakuamini kuwa wameondolewa dhambi zao zote na nuksi nyingine zote.

Hii ni sherehe kubwa na inayodumu muda mrefu kuliko zote duniani kwani inadumu kwa kipindi cha siku 55, hivyzia leo hadi tarehe 10 marrcdu watakuwa katika sherehe hizo.

Mratibu mkuu wa sherehe hizo Mani Prasad Mishra amesema karibu watu milioni 3 walikuwa wameshaoga leo asubuhi na watu wengine milioni 11 wanatarajiwa kuoga hadi jioni ya leo.
 Zaidi ya watu milioni 110 wanatarajiwa kuoga kwenye eneo hilo liitwalo SANGAM. Hili ni eneo ambapo makutano ya mito ya GANGES, YAMUNA NASARASWATI . Sikukuu hii inatelemea mwonekano wa nyota zinazolandana angani. Baada ya nyota hizo kukaa katika mkao fulani basi wahindu wanaenda kuoga ili kujitakasa na madhambi yao na kuopuka kufo na kuzaliwa upya katika hali ya adhabu.

Soma kwa kirefu zaidi hapa:  http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-india-21006259






2 comments:

  1. Dah! Hii ni noma mkuu, Wapo Duniani tu nao

    ReplyDelete
  2. Situs Poker Online Indonesia ★ terbaik dan terpercaya yang menggunakan uang asli Indonesia. Poker8M menyediakan permainan poker,★ Domino Online dan ceme dalam 1 web yang dimainkan oleh semua pemain yang Asli tanpa BOT 100%.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...