ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, February 24, 2014

Hii Ndiyo Nyimbo Mpya ya Nikki Mbishi aliyoiachia Kimya Kimya "Where Ma Crown At"


NIKKI MBISHI NA ‘WHERE MY CROWN’ ILIYOACHIWA KIMYAKIMYA… 
Nikk Mbishi aliye kwenye game la Hip Hop hapa Bongo akiiwakilisha Tamadun Muzik, mambaye amewahi kutajwa huko Kenya kuwa ndiye msanii anayeongoza kwa nyimbo zake ku=dowloadiwa sana kupitia Mdundo.com ameachia kitu kingine ambacho pia kinapatikana ndani ya mdundo.com.
Nikki ambaye amewahi kutamba na ngoma kadhaa kama vile Jogoo, Play boy, Ney Wa Mitego, Yote sawa, A K A n.k ameachia ngoma iitwayo ‘Where My Crown’ yenye takriban wiki moja mtandaoni tangu iachiwe rasmi.
Akiitambulisha rasmi singo hiyo kupitia Baabkubwa, Nikki alikuwa na haya ya kusema
“Aaaaaa… ‘Where my crown’ ni Track yangu mpya ambayo mpaka sasa ina takriban wiki moja na track hii nimeifanyia katika studio ya Kiri Records chini ya producer Kibabu wapoteen nimeamua ku Release track hii mtandaoni ,na sina ratiba ya kuipeleka kwenye media yeyote kwa sasa lakini naisikia ikipigwa pia sehemu mbalimbali so Big up my fans.”
Usikilize hapa wimbo huo:
 
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...