Mtoa mada Saleh Mohammed , wa Baraza la Katiba Zanzibar akitowa mada
katika mkutano wa siku moja juu ya Zanzibar katika Mchakato wa kutowa
maoni ya Katiba Mpya unaoendelea Tanzania nzima,Maoni ya Katiba wiki
ijayo yataaza katika Mkoa wa Mjini Magharibi , ili wananchi kupata
nafasi kutowa maoni yao jinsi ya mfumo wa Katiba ya Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Profesa Abdul Shariff,Mwenyekiti wa Baraza la Katiba Zanzibar , akitowa
mada ju ya mchakato wa kuchangia maoni ya Katiba Mpya ya Tanzania,
kuhusu mfumo wa Serekali mbili za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ,
wakati akitowa Elimu kwa Wananchi jinsi ya kuchangia Katiba ya Mpya ya
Tanzania , Inayotarajiwa kuaza kutowa maoni yao Wananchi wa Mkoa wa
Mjini Magharibi jumatatu wiki ijayo katika maeneo mbalimbali ya mjini wa
Unguja.
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia michango ya Wananchi wakati wa kutowa
elimu ya mchakato wa kutowa maoni ya Katiba Mpya Tanzania.uliofanyika
katika ukumbi wa hoteli ya bwawani ukumbi wa salama.
Wananchi wakisikiliza Mada zinazowasilisha katika mkutano wa siku moja
wa kutoa elimu ya mchakato wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania, mkutano huo umeandaliwa na Baraza la Katiba
Zanzibar.iliofanyika katika ukumbi wa salama bwawani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment