Nikk Mbishi aliye kwenye game la Hip Hop hapa Bongo akiiwakilisha
Tamadun Muzik, mambaye amewahi kutajwa huko Kenya kuwa ndiye msanii
anayeongoza kwa nyimbo zake ku=dowloadiwa sana kupitia Mdundo.com
ameachia kitu kingine ambacho pia kinapatikana ndani ya mdundo.com.
Nikki ambaye amewahi kutamba na ngoma kadhaa kama vile Jogoo, Play
boy, Ney Wa Mitego, Yote sawa, A K A n.k ameachia ngoma iitwayo ‘Where
My Crown’ yenye takriban wiki moja mtandaoni tangu iachiwe rasmi.
Akiitambulisha rasmi singo hiyo kupitia Baabkubwa, Nikki alikuwa na haya ya kusema
“Aaaaaa… ‘Where my crown’ ni Track yangu mpya ambayo mpaka sasa ina takriban wiki moja na track hii nimeifanyia katika studio ya Kiri Records chini ya producer Kibabu wapoteen nimeamua ku Release track hii mtandaoni ,na sina ratiba ya kuipeleka kwenye media yeyote kwa sasa lakini naisikia ikipigwa pia sehemu mbalimbali so Big up my fans.”
Usikilize hapa wimbo huo:

No comments:
Post a Comment