Maalim.Ramadhan Ali Machano kaimu mkuu makumbusho na Mkuu wa huduma za elimu
Idara makumbusho na mambo ya kale alie juu ya jukwaa akiwapa historia ya Beit el
Ajaib Wasanii mbali mbali wa Zanzibar wakiongozwa na Maalim Haji Mkadam kutoka
Baraza la Sanaa Zanzibar wakiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za
kihistoria,kuhamasisha Utalii wa ndani kwa wananchi
Maalim.Ramadhan Ali Machano kaimu mkuu makumbusho na Mkuu wa huduma za Elimu
Idara makumbusho na mambo ya kale akiwafahamisha kitu wasanii hao juu ya Kasir
la Mtoni lililojengwa na Sultan Seyyid Said mnamo mwaka 1828.
Wasanii wakitizama Mahandaki ya vita vya Pili vya Dunia mwaka 1939-1945 huko
Mangapwani yaliojengwa na Waengereza yalitumika kama sehemu ya kujihami.
Mkuu wa ziara hiyo kutoka Idara ya Makumbusho na mambo ya Kale Bi.Zuhura Ali
Juma akitoa shukran zake kwa wasaii hawapo pichani walio tembelea sehemu mbali
mbali za kihistoria akiwaomba wawe washajihishaji wakubwa wa Utalii kwa
wate.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment