ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, November 16, 2012

Mpango wa Uingereza wa kuingilia kijeshi Syria waanza

The prospect of British involvement in a no-fly zone to tackle the bloodshed in Syria comes a year after the end of a similar military mission in Libya that was estimated to have cost the UK more than £1 billion. 
  
 
  
 

 
The prospect of British involvement in a no-fly zone to tackle the bloodshed in Syria comes a year after the end of a similar military mission in Libya that was estimated to have cost the UK more than £1 billion.

  
 
  
 


 Smoke rises after a Syrian Air Force fighter jet fired missiles at Marat al-Numan, near the northern province of Idlib 

File:Tunisia Unrest - VOA - Tunis 14 Jan 2011 (2).jpg 
Machafuko yalianzia hapa Tunisia

File:Tahrir Square on February11.png  
Baadaye machafuko yakahamia Misri
 File:Demonstration in Al Bayda (Libya, 2011-07-22).jpg 
Machafuko ya Lybia

 File:Yemeni Protests 4-Apr-2011 P01.JPG 
Machafuko ya Yemen
 File:Hundreds of thousands of Bahrainis taking part in march of loyalty to martyrs.jpg 
Machafuko ya Bahrain
 File:Emeute à Blida khazrouna.jpg 
Machafuko ya Algeria

 File:Beirut protest.jpg 
lebanon

File:2011 Moroccan protests 1.jpg

Morroco
File:Lulu Hypermarket Burning.jpg 
Oman
  
Wananchi wa Syria wakizika ndugu zao katika kaburi la pamoja

  
Waasi wa Syria

  
Mateso kwa aikina mama na watoto wa Syria
  
Syria
  
Syria
  
  




Waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon ameitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kujadili namna ya kutatua mzozo wa Syria.
Majadiliano hayo yanatarajiwa kuingilia kijeshi Syria kwa kuweka vikwazo vya anga (no fly zone) kwa serikali ya Bwana Assad, kuwapa silaha waazi wanaipigana kuiangusha serikali ya Assad na kuwapa moyo nchi mbalimbali kuwasaidia waasi wa Syria kwa silaha na mafunzo ya kijeshi.
Wiki iliyopita Bwa Cameroon alitembelea kituo kinachoongozwa na Umoja wa mataifa katika mpaka wa Syria na Jordan na akaona mateso wanayopata maelfu ya wakimbizi kutoka Syria.
Akasema atatumaini kufanya zadi na atafanya kazi kwa ukaribu na rais mteule wa Marekani Barack Obama katika kuzidi kumbana Asaad ili aweze kuachia madaraka.
“Kusema ukweli kile ambacho tumefanya hadi sasa hakijafanikiwa” alisema Bwana Cameroon
Mapema wiki hii Jenerali mkuu wa Majeshi wa Uingereza Sir David Richards alibainisha kwamba kulikuwa na maandalizi ya uwezekano wa kupeleka wanajeshi wa Uingereza Syria kama hali ya kibinadamu itakuwa mbaya zaidi hasa wakati huu wa baridi kali huko Syria.
Hata hivyo alibainisha wanajeshi wa Uingereza wanaweza kupelekwa nchi jirani na Syria ili waweze kutumika mara watakapohitajika kama janga la kibinadamu litatokea.
Syria iliingia katika machafuko ya maandamano ya umma yaliyoanzia Tunisia yanayojulikana kama “Arab Spring” Maandamano hayo yamesababisha marais kama Zine El Abidine Ben Ali aliyekimbilia uhamishoni, Hosn Mubaraka wa Misri aliyefungwa maisha, Muamar Ghadafi aliyeuwawa kikatili. Machafuko hayo pia yalienea Yemen, Bahrain, Morocco, Algeria na Oman



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...