Pichani
Juu na Chini ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw. Ramadhan
Madabida na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe Philip Mangula mkuu wa
mkoa huo Mhe. Said Mecky Sadik.
Rais
Jakaya Kikwete akipokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar
es salaam baada ya kurejea akitokea Arusha alikokuwa katika ziara ya
siku mbili ya kikazi na kabla ya hapo alikuwa Dodoma ambako alichaguliwa
tena kuongoza CCM kwa miaka mingine mitano.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa Ikulu.(PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment