Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Canada
nchini Mhe Alexandre Leveque baada ya kupokea hati zake za utambulisho
leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini
Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo
Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka
kwa Balozi wa Canada nchini Mhe Alexandre Leveque leo Novemba 21, 2012
Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho toka kwa
Balozi wa Iran nchini Mhe Mehdi Agha Jafari leo Novemba 21, 2012 Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa
Rais Ali Bongo wa Gabon uliowasilishwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa
Mfuko Maalumu wa Uwekezaji wa nchi hiyo Bw. Serge Mickoto leo Novemba
21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Iran nchini
Mhe Mehdi Agha Jafari baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo
Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia ujumbe maalumu toka kwa
Rais Ali Bongo wa Gabon leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
uliowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko Maalumu wa Uwekezaji wa
nchi hiyo Bw. Serge Mickoto leo Novemba 21, 2012 Ikulu jijini Dar es
salaam.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment