YULE MWANAMKE KATILI(PICHANI) WA MWAKA 2012
ALIYEJIZOELEA UMAARUFU WA UKATILI NA UNYAMA LEO TAREHE 22 ASUBUHI
AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MBEYA AWALI MWANAMKE HUYU
ALIFIKISHWA MAHAKAMANI HAPO AKIKABILIWA NA MAKOSA YA KUMFANYIA UKATILI
MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA MINNE KINYUME CHA SHERIA
mtoto aliyekatwa mkono Aneth kutokana na Manyanyoso ya aliyechomwa mkono nakupelekea kukatwa akiwa amebebwa na Mama yake akiendelea vizuri mzazi mahakama ya wilaya mbeya leo ni mara ya pili kwa mama yake huyo
mdogo kufikishwa mahakamani kutokana na kosa la kumnyanyasa.Picha na Habari kutoka Mbeya na Joseph Mwaisango
No comments:
Post a Comment