Musleh Rawah akimkabidhi jezi ya timu ya simba Mdhamini wao wa safari hiyo, Bi. Rahma Al Kharusi
Kocha wa makipa wa taifa ya Oman, Haroun Amur alimkabidhi Rahma jezi ya timu ya Taifa ya Oman.
Walikula
pamoja na baadaye bendi maalum kutoka Tanzania iliwapigia muziki na
wakaserebuka pamoja huku Rahma akimwaga noti kama maji.
Wachezaji wakipakua Msosi ulishushwa wa kutosha
---
Usiku wa kuamkia jana Timu ya
Simba iliyoko Oman kwa kambi maalum ya mazoezi waliapata mualiko wa chakula cha
jioni nyumbani kwa Mdhamini wao wa safari hiyo, Bi. Rahma Al Kharusi katika
makazi yake yalipo eneo la Al Kheri jijini Muscat, Oman na wachezaji pamoja na
viongozi kula bata na kupta burudani ya muziki wa nyumbani.
Viongozi wa Simba walimkabidhi
mdhamini huyo Jezi za Simba kama ishara ya kutambua mchango wake. Rahma alikabidhiwa
jezi hiyo na Musleh Rawah.
No comments:
Post a Comment