ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, March 22, 2013

POLISI WAFANIKIWA KUKAMATA SHEHENA YA MENO YA TEMBO YA ZAIDI YA 300 MILIONI


Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, John Laswai, akiwaonesha waandishi wa habari pembe za ndovu zilizokamatwa na jeshi la polisi jana katika kijiji cha Doma, wilaya ya Mvomero
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, John Laswai, Akizungumzia tukio hilo alisema kuwa watuhumiwa hao walikamatwa machi 20 mwaka huu saa 1 asubuhi eneo la Doma barabara ya Morogoro Iringa audifacejackson.blogspot.com ya raia wema kuwapa taarifa askari wa usalama barabarani waliokuwa doria katika barabara hiyo..
Pembe za ndovu zilizokamatwa na jeshi la polisi jana
Meno ya tembo vipande 55 vyenye thamani ya Sh. 329.7 milioni waliyokuwa wakiyasafirishwa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...