ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, July 16, 2013

MSANII WA VICHEKESHO POSA AFARIKI DUNIA LEO KATIKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA






TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION 
inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu posa. amefariki dunia jana saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa amelazwa taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo hospitali tafadhari mjulishe na mwenzio.. R.I.P POSA.


   Kushoto ni Marehemu Ibrahim Mohammed Pazi ‘Posa’ akiwa na msanii mwenzake enzi za uhai wake.
    Mke wa Marehemu akifika msibani.
    Mtoto wa marehemu mwenye miezi miwili akiwa amebebwa.
    Sherry Maghari (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kukutana na ndugu wa marehemu ambaye alikuwa akiongozana naye hospitali.
Wasanii wakiomboleza nyumbani kwa babu wa marehemu Manzese Tiptop jijini Dar.
    Wasanii wa kike wakifanya kikao kwa ajili ya shughuli za msibani hapo.
   Sherry Maghari (wa pili kushoto) akiwa na simanzi. Sherry alimuuguza marehemu takribani mwezi mmoja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...