ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, July 18, 2013

TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA VITAMBULISHO VYA TAIFA KUTOKA BENKI YA EXPORT IMPORT YA KOREA


Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa na Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea wakisaini  mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa na Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea  wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
 Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya  kusaini  mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa kushoto akiwa na Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea  wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za  kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa  akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali ya Tanzania  kwa Mwenyekiti na  Rais  wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.Picha zote na Lorietha Laurence-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...