Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe
Tunu (kushoto) wakitazama ngoma kutoka katika kikundi cha sanaa cha
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Tanga Septemba 25, 2013. Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kufungua
Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini Mjini Tanga Septemba 26,
2013.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea
Maghala ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha Septemba
25, 2013. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula na
Ushirika, Adam Malima.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea
Maghala ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha Septemba
25, 2013. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula na
Ushirika, Adam Malima.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment