ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, October 21, 2013

Kanye West atokewa na Yesu akiwa Stejini



 Rapa machachari wa Marekani Kanye Wesr, alianza ziara yake  ya show iitwayo "Yeezus" Jumamosi iliyopita katika ukumbi mkubwa waSeattle. Show hiyo iliyochukua zaidi ya masaa mawili ilikuwa ya kuvutia sana na ilivuta watu wengi mno.
 Kanye West ambaye alikuwa na nguvu ya ziada katika show yake hiyo
Katika show hiyo aliimba vibao kikali kama vile Yeezus, New Slaves na Sland up kati ya nyimbo nyingi alizoonyesha katika performance yake hiyo. Wakati akiiba wimbo wa Yeezus, Yesu alitokea stejini

Katika stage alikuwa akiperform, malikuwa na mlima mweupe wenye urefu wa futi sitini, hapo ndipo Yesu alipotokea. Palikuwa pia na kundi la wanawake waliovaa nguo nyeupe na hawa walikuwa wamebeka vyombo vya ibada kama ubani, chetezo, Bikira Maria, Msalaba na vingine. Mlima uliokuwepo stajini ukapasuka na wale wadada wakaingia ndani ya mlima ule wakati Kanye akiimba wimbo wake wa "I wonder"
Baada ya wale kutokomea ndani ya mlima ndipo mgeni wake rasmi Yesu akatokea. Yesu alipotokea Kanye West akavua ile mask aliyokuwa amejifunika nayo na kumwambia Yesu kuwa alikuwa akimsubiri kama mgeni wake. Yesu akamjibu kuwa alikuwepo hapo muda wote. Baadaye Yesu yule akakwea juu ya mlima wakati Kanye akiwa ameinamisha kichwa kumsujudia wakati huo wimbo wake wa "New Slave" Ukiimbwa
Na kibwagizo kuwa "Umetupa kile tulichokuwatunahitaji/kinaweza kisiwe kile tunachotaka" kikijirudia mara nyingi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...