ANGALIA VIDEO KAMANDA WAMBURA AKIONGEA NA WANAHABARI BAADA YA MTIKISIKO KWENYE JENGO LA OFISI ZA TIGO DAR
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura
akiongea na wanahabari jirani na jengo la Derm lenye ofisi za Tigo
lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam palipotokea mtikisiko leo.
No comments:
Post a Comment