Polisi nchini India wamewakamata wanaume 13 waliohusishwa na genge la
wanaume waliombaka msichana mwenye umri wa miaka 20 katika jimbo la
Benghal Magharibi.
Inadaiwa wanaume hao walimbaka mwanamke huyo kufuatia amri ya wazee
wa kijiji ambao wamejipa wenyewe mamlaka ya mahakama ya kitamaduni.
Msichana huyo amelazwa hospitalini kwa matibabu akiwa katika hali
mahututi.
Police
wakiwa wamewashikilia watuumiwa wa ubakaji hao baada ya kumbaka
bintiwa miaka 20 katika kitongoji cha Birbhum mjini West Bengal, India.
The men are accused of brutalising a woman as punishment for her having an affair
Ten of the accused took part in the kangaroo court, police said
Crime scene: The woman was tied to a tree (pictured) before she was dragged to a shed and raped
Unspeakable abuse: The woman, seen surrounded by
family members as she is escorted into hospital, was locked in a shed
and raped overnight by 13 men, ten of which had been 'judges' in the
kangaroo court which sentenced her
No comments:
Post a Comment