Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akitangaza Majina yaliyopo kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri 2014 |
- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi
- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe
- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto
- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)
- Naibu Kilimo - Zambi
- Habari - Naibu ni Juma Nkamia
- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene
Saada Mkuya ni waziri wa fedha mpya,
Asha Migiro ni waziri Katiba na Sheria
Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi
Malima Waziri Mdogo Fedha
Kebwe ni Waziri Mdogo Afya
Chikawe ni Waziri Mpya Ndani
Mhagama Waziri Mdogo elimu
Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama
Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo
Waziri Mdogo Telele Mifugo
No comments:
Post a Comment