Mkali wa mabao wa Barca, Lionel Messi
amecheza mechi ya 400 katika timu hiyo Katalunya usiku huu, ambazo ndani
yake ameshinda mataji sita ya La Liga na matatu ya Ligi ya Mabingwa.
Messi alifanya kazi nzuri akitoa mchango kwa mabao yote manne, ikiwemo hat-trick ya Cristian Tello. Wenyeji walitangulia kupata bao lililofungwa na mchezaji wa zamani wa Liverpool, Nabil El Zhar.
Juanfran alijibabatiza mpira uliopigwa na Messi na akaudondoshea kwenye nyavu zake mwenyewe kuisawazishia Barca- kabla ya Tello kufunga mara tatu mfululizo kuipa ushindi mtamu timu yake. Chanzo: binzubeiry

No comments:
Post a Comment