Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya viongozi
wa CCM wilaya ya Bagamoyo alipowasili kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni
za udiwani kata ya Magomeni.
Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa shina la
wakereketwa la stendi ya Kangowe mara baada ya kulifungua shina hilo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga ngoma ya asili ya watu wa Bagamoyo kabla ya kuanza kuhutubia wakazi wa kata ya Magomeni.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga ngoma ya asili ya watu wa Bagamoyo kabla ya kuanza kuhutubia wakazi wa kata ya Magomeni.
Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Magomeni
wilaya ya Bagamoyo kwenye viwanja vya shule ya msingi Majengo na
kuwataka wananchi wa kata hiyo kufanya maamuzi sahihi kwa wakati huu kwa
kumchagua mgombea kutoka CCM kwani ndio chama pekee chenye ukomavu wa
kisiasa.
Wapenzi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakijumuika kucheza ngoma ya asili ya Bagamoyo.
Wapenzi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakijumuika kucheza ngoma ya asili ya Bagamoyo.
Mgombea
wa Kiti cha Udiwani Kupitia CCM Mwanaharusi Hamis Jarufu akipiga magoti
kwa wapiga kura wake kama ishara ya kuomba kura.
Mgombea
wa Kiticha Udiwani kata ya Magomeni wilaya ya Bagamoyo kwa tiketi ya CCM
Mwanaharusi Hamisi Jarufu akihutubia wakazi wa kata ya Magomeni wakati
wa uzinduzi wa kmapeni za udiwani wa kata hiyo.
No comments:
Post a Comment