Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi ya timu ya baseball ya Chicago Cubs
toka kwa mmiliki wa timu hiyo na Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia
elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe
Ricketts wakati alipomtembelea Ikulu Jumapili Januari 27, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea akipokea moja ya Tabuleti 61 kwa ajili
ya wanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Wama Nakayama iliyoko
kijijini Nyamisati, Rufiji, Mkoa wa Pwani toka kwa Mwenyekiti wa
taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa
Marekani Bw. Joe Ricketts wakati alipomtembelea Ikulu Jumapili Januari
27, 2014 .PICHA NA IKULU.
Mwenyekiti
wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete, Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dkt Shukuru Kawambwa, Mwenyekiti wa
Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama Dkt Ramadhani Dau na Mkuu wa Shule hiyo
wakipokea moja ya Tabuleti 61 alizozitoa kwa ajili ya wanafunzi wa
kidato cha pili katika Shule ya Wama Nakayama iliyoko kijijini
Nyamisati, Rufiji, Mkoa wa Pwani leo Januari 27, 2014 toka kwa
Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education
Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts akikabidhi moja ya Tabuleti 61
alizozitoa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha pili katika Shule hiyo.
Mwenyekiti
wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete, Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dkt Shukuru Kawambwa, Mwenyekiti wa
Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama Dkt Ramadhani Dau na Mkuu wa Shule hiyo
wakiangalaia matumizi ya ya Tabuleti 61 katika darasa la kidato cha
pili katika Shule ya Wama Nakayama iliyoko kijijini Nyamisati, Rufiji,
Mkoa wa Pwani leo Januari 27, 2014 toka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya
kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe
Ricketts akikabidhi moja ya Tabuleti 61 alizozitoa kwa ajili ya
wanafunzi wa kidato cha pili katika Shule hiyo.
No comments:
Post a Comment