ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, February 7, 2014

LULU KUTINGA MAHAKAMANI TAREHE 17/2/2014

 

MSANII wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ambaye anakabiliwa na kesi ya kuuwa bila kukusudia msanii mwenzake 'Steven Kanumba atasomewa mashtaka yake Februari 17, mwaka huu ambapo atasomewa mashataka hayo mbele ya jaji Rose Teemba wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ambapo siku hiyo anatakiwa kujibu kama kweli au si kwelli.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Mahakama hiyo Lulu baada ya kusomewa mashataka kesi hiyo itapangwa tarehe nyingine kwa ajili ya mshatakiwa huyo kusomewa maelezo ya awali kabla ya kuanza kusikilizwa rasmi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...