February
27 ni tarehe rasmi aliyoiteua Snura kuanza kushoot vipande vya video ya
wimbo wake mpya unaoitwa Ushaharibu,miongoni mwa vipande
vitakavyoonekana ni hivi ambavyo vimefanyika nje ya kidogo ya Dar es
salaam.
Video hii inatengenezwa na Next Level chini ya Director Adam Juma,hizi ni baadhi ya picha zitakazoonekana kwenye video hiyo.
No comments:
Post a Comment