ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, March 1, 2014

KIM KARDASHIAN AKERWA NA UBAGUZI WA RANGI ALIOTOLEWA KANYE WEST NCHINI AUSTRIA.


A trooper: Though he had insulted her, the Kardashian Kollection designer still took Lugner's arm as they walked into the event with mom Kris Jenner to her left
Kim K na Richard Lugner.
Mwanamitindo mrembo anayetokea katika familia ya Kardashian,  Kim K, alikumbwa na tukio lilionekana kumkera la ubaguzi wa rangi aliotolewa baba watoto wake, Kanye, baada ya kualikwa na bilionea Richard Lugner kwa kulipwa dola za kimarekani 500,000 kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalum  ya usiku ‘lavish ball’ iliyofanyika katika mji wa Vienna ,  Austria.
Taarifa zinadai kuwa Kim alimpotezea mwanaume mmoja aliyekuwa amevalia kinyago cheusi kisha kumtolea maneno ya kibaguzi  baba watoto wake, rapa Kanye west, alipokuwa akipiga picha na bilionea Lugner ambaye amekuwa na utaratibu wa kualika warembo mbalimbali Dunia kwa ajili ya hafla hizo zinazofanyika kila mwaka .
Haikuishia hapo, kwani baada  kukataa ombi la kucheza na jamaa mwingine aliyemwambia kama wangeweza kucheza wote endapo bendi ingepiga kibao cha ‘Niggers in Vienna’ ikiwa kama dongo la kibaguzi kwa nyimbo ya ‘Niggers in Paris’ alichoimba  Kanye West na  Jay Z.   ”Kim ameniuzi”,  alisema Lugner alipofanyiwa mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini humo.
Box seats: Kris and Kim took in the opera together from box seats
Kim akiwa na mama ake mpenda pesa, Kris Jenner.
The opera house is pictured on the evening of the Opera Ball in Vienna February 27, 2014. The traditional ball is opened by the Austrian president and features a musical programme with soloists and artists from the Vienna Philharmonic and State Ballet before the 144 debutants and debutantes lead into the festivities with a Strauss waltz. Tickets start at 250 euros ($340) and a box costs as much as 18,500 euros ($25,000). REUTERS/Heinz-Peter Bader  (AUSTRIA - Tags: SOCIETY)
High society: The attendees take to the dance floor inside as other watch on from above
About these ads

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...