ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, April 2, 2014

CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE


 IMG_6292
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze, ambapo amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 jumapili ijayo. IMG_6292

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...