Exclusive: Ommy Dimpoz ‘alikufa’ kwenye video yake mpya, tazama picha akiwa kwenye jeneza
Maisha ya Ommy Dimpoz kwenye script ya video yake mpya aliyoishoot hivi
karibuni nchini Uingereza yanaonekana yalikuwa magumu sana.
Ommy akiwa na
msichana atakaeonekana kwenye video hiyo, Sofia Skvortsova
Tayari staa huyo
wa Tupogo ameshawaonesha mashabiki wake baadhi ya picha za uchukuaji wa
video hiyo iliyoongozwa na Mnaijeria aishiye London, Uingereza, Moe Musa
zikiwemo zile anazoonekana akiwa chini ya ulinzi
Muongozaji huyo wa video leo ameshare picha nyingine akiwa kwenye
mchakato wa kuhariri video hiyo na tumegundua kuwa Ommy alikufa kwenye
video hiyo
Katika picha hiyo Ommy anaonekana yumo kwenye Jeneza "Color
grading/Correcting Ommy Dimpoz Music Video.Visuals
look#Frosh2Deth".Ameandika muongozaji huyo
No comments:
Post a Comment