ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, April 4, 2014

GAZETI LAOMBA RADHI KWA KUTENGENEZA NA KUTOA PICHA YA OBAMA AMEFANANA NA SOKWE


GAZETI LAOMBA RADHI KWA KUTENGENEZA NA KUTOA PICHA YA OBAMA AMEFANANA NA SOKWE
Gazeti moja nchini Ubeligiji mnamo siku ya Jumatatu imebidi liombe radhi kutokana na kitendo chake cha kutoa picha ya Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na First Lady Michelle Obama picha ambayo imefanyiwa photoshopped iliyowaonyesha wakiwa wamefanana na sokwe.
Sambamba nayo picha hiyo iliyochapishwa pia kulikuwa na nyingine iliyoeleza kuwa Obama ni muuza bangi.
Picha hizo zilitokea kwenye makala maalum ya gazeti la De Morgen ambayo ilitoka kwenye toleo lake la Jumamosi. Kwenye picha hiyo gazeti hilo pia lilitania kwamba Rais wa Russian Vladimir Putin ndiye aliyeituma picha hiyo.
Mkanganyo huo umekuja huku Rais huyo wa Marekani akitegemea kufanya ziara nchini Ubeligiji siku ya Jumanne.
picha nyingine nyingi zinazowadhalilisha obama na mkewe hizi hapa
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...