HUWEZI AMINI HAWA NDIYO WATU MAARUFU WALIYOBURUZWA NA LUPITA KWA UZURI DUNIANI MWAKA 2014 KWA MUJIBU WA JARIDA LA PEOPLE
Hata Lupita mwenyewe hakuweza kuamini macho yake, aliona kama
amependelewa aliposikia kuwa yeye ndio mwanamke mzuri kuliko wote hawa
kwa mwaka huu, hii ni kutokana na takwimu na zoezi lilofanywa na moja ya
jarida maarufu linaloheshimika huko marekani na dunia nzima, ni kama
bahati vile mwaka hu kushinda kila tuzo, ila kwa hii list ya wapinzani
wake, huwezi amini kama Lupita angefurukuta hadi kutajwa kuwa namba moja
kwa uzuri kati ya warembo hawa wote.
2. Kerri Russell 3. Jenna Dewan-Tatum 4. Mindy Kaling 5. Pink 6. Amber Heard 7. Gabrielle Union 8. Molly Sims 9. Stacy Keibler 10. Kerry Washington
Vibe Magazine
No comments:
Post a Comment