Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Msumbiji,
Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam, Baadaye Waziri Mkuu huyo alifanya mazungumzo na
Kinana kuhusu masuala mbalimbali hususan ya kisiasa.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwa ajili ya mazungumzo,
Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa
Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waziri Mkuu wa Msumbiji,
Dk. Alberto Vaquina (kulia), kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, Aprili 25, 2014. Picha zote na Bashir
Nkoromo