Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaonyesha wanafunzi kutoka chuo
cha Whitworth Marekani bango la linaloonyesha wajumbe wa Kamati Kuu
wa CCM wakati wa mkutano kati yake na wanafunzi hao waliomtembelea Makao
Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.
Wanafunzi
wa Chuo cha Whitworth wakisoma bango lenye kuonyesha wajumbe wa kamati
kuu ya CCM wakati wa mkutano wao na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye ambapo walipata nafasi ya kujifunza mambo mengi na mazuri ya
Chama Cha Mapinduzi kushoto ni Mwalim Grace Valentine wa Chuo cha
Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere.
Profesa
John C.Yoder (kulia) akiandika mambo muhimu ya Chama Cha Mapinduzi
pamoja na wanafunzi wake wakati wa kikao na Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye ,wanafunzi hao walipata kuelezwa historia ya
chama,muundo wa chama, historia ya muungano na mambo mengine mengi
yanayohusu siasa za Chama Cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment