ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, April 10, 2014

TAZAMA PICHA 10 ZA GARI ILIYOUNGUA MAENEO YA SALENDER BRIDGE


 

 Gari aina ya RAV 4 ambayo haikuweza kufahamika mara moja namba za usajili kutokana na mmiliki wake baada ya ajali hiyo hakuweza kuongea lolote zaidi ya kulia... imeteketea kwa moto kutokana leo Aprili 9, 2014 katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam.

Mashuhuda wa tukio hilo wakizungumza na Kajunason Blog mara baada ya kufika  walisema kuwa waliona watu wakikimbia ovyo baada ya kutanda kwa moshi mkali na baadae waliona moto ukizuka ila inaonekana chanzo cha ajali hiyo ni hitrafu ya umeme kwenye gari hilo.

Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyefariki wala kujeruhiwa. 
 Mabaki ya gari hiyo...
Muonekanao wa gari hilo kwa nyuma.
Mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...