Balozi
wa Nigeria nchini Marekani Profesa Adebowele Adufye, akimkabidhi Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe
Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la
Afrika kwa mwaka 2013 anayopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe
ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C.,
usiku wa Jumatano, Aprili 9, 2014. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai ambaye yuko katika ziara ya kikazi
ambapo naye alialikwa kuhudhuria hafla hii
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe
akifurahia baada ya kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi
Katika Maendeleo ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 kwa niaba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini
Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.Kushoto
ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Job Ndugai ambaye
yuko katika ziara ya kikazi ambapo naye alialikwa kuhudhuria hafla hii
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe akimpa Naibu Spika Mhe Job Ndugai Tuzo la
Kiongozi
Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo ya Bara la Afrika
kwa mwaka 2013 aliyopokea kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
katika sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C., usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.
Naibu
Spika Mhe Job Ndugai ambaye yuko Washington kwa zaiara ya kikazi
akifurahia Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo
ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 aliyopewa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe
ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C.,
usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.
Kiongozi
wa kwaya iliyotumbuiza katika hafla hiyo akiimba atika sherehe ya
kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini Washington, D.C.,
usiku wa , Jumatano, Aprili 9, 2014.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe,
akiwa na Balozi Liberata Mulamula (kushoto) baada ya sherehe ya
kupokea Tuzo la Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi Katika Maendeleo
ya Bara la Afrika kwa mwaka 2013 aliyopokea kwa niaba ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete katika
sherehe ya kutunuku Tuzo hiyo kwenye Hoteli ya St. Regis mjini
Washington, D.C., usiku wa Jumatano, Aprili 9, 2014. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment