Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe kuzindua rasmi mpango wa
bima ya afya na maafa wa WESTADI wa mfuko wa Jamii wa NSSF jijini
London, akiwa na Mkurugenzi wa NSSF Dkt RAmadhani Dau na Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi ya mfuko huo Bw. Abubakar Rajabu (kushoto) . Mwenye
miwani kati ni Bw. Aboubakar Faraji aliyekuwa mwongoza sherehe wa siku
hiyo ambapo Dkt Kikwete alikutana na kuzungumza na Watanzania waishio
Uingereza.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Uingereza Bw. Hague alipomtembelea ofisini kwake jijini London kwa
mazungumzo Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw.
David Cameron alipomtembelea ofisini kwake 10 Downing Street jijini
London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Duke of York ambaye pia ni
Balozi wa Biashara wa Serikali ya Uingereza HRH Prince Andrew katika
kasri ya Malkia ya Uingereza ya Buckingham Palace jijini London Machi
31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake
Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron alipomtembelea ofisini kwake
10 Downing Street jijini London kwa mazungumzo Machi 31, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Jiji la London
Mstahiki Alderman Fiona Woolf alipomtembelea ofisini kwake Mansion House
jijini London Machi 31, 201
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyabishara wakubwa na
wawekezaji wa Uingereza aliokutana nao katika mkutano wa biashara na
uwekezaji katika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Jumuiya ya
Madola jijini London Machi 31, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wadau mbalimbali wa biashara na
uchumi wa Uingereza aliokutana nao katika ukumbi wa Chatham House
jijini London Machi 31, 2014
PICHA NA IKULU
………………………………………………………………………
Uingereza inajivunia
kuwa nchi inayoongoza katika uwekezaji nchini Tanzania na itaendelea
kuisaidia Tanzania katika jitihada zake za kiuchumi na kuleta maendeleo .
Waziri Mkuu wa Uingereza David
Cameron amemuambia Rais Kikwete wakati wa mazungumzo yaliyofanyika 10
Downing Street, Leo tarehe 31 March, 14, ambapo ndipo yalipo Makao
Makuu ya Waziri Mkuu wa Uingereza.
“Tunafurahia sana uhusiano wetu na kujivunia kuwa tunaongoza katika
Uwekezaji nchini Tanzania” Bw. Cameron amesema na kumhakikishia Rais Kikwete kuwa Uingereza iko tayari kutoa misaada zaidi.
Uwekezaji nchini Tanzania” Bw. Cameron amesema na kumhakikishia Rais Kikwete kuwa Uingereza iko tayari kutoa misaada zaidi.
Rais Kikwete amewasili nchini
Uingereza tarehe 30 Machi, 2014 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku 3
kufuatia mualiko wa Bw. Cameroon ambaye pia amemuomba Rais Kikwete
aendelee kutoa mchango wake wa mawazo katika masuala ya kimataifa hasa
baada ya mwisho wa muda wa malengo ya millennium ya 2015.
“Tunakaribia mwisho wa muda wa
malengo ya millennia Mwaka 2015, tutahitaji kuweka vipaumbele vingine
baada ya hivyo kama kuondosha umaskini, Maji safi na salama, masuala ya
ufisadi na utawala bora, natumaini utaendelea kutoa mchango wako baada
ya malengo hayo kufikia tamati” Waziri Mkuu Cameron amemuambia Rais Kikwete ambapo Rais amekubali ombi hilo na kuahidi ushirikiano wake.
Mapema leo asubuhi Rais amekutana
na mtoto wa Mfalme Prince Andrew katika makazi ya Malkia ya Buckingham
ambapo wamebadilishana mawazo kuhusu mambo mbalimbali ya Kimataifa na
Kijamii.
Kabla ya kwenda Buckingham Rais
amefungua mkutano kuhusu uwekezaji na kuelezea fursa na nafasi zilizopo
za uwekezaji nchini Tanzania na kuelezea kwanini wawekezaji watakuwa
wanafanya uamuzi bora kwa kuwekeza Tanzania kuwa ni pamoja na;
“Fursa nyingi, amani, usalama, soko la kutosha na kubwa kwa vile Tanzania iko katika Umoja wa Afrika Mashariki, Ukanda wa Maziwa Makuu na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika,hivyo kuwa na uhakika wa soko kubwa na pana” amesema.
“Fursa nyingi, amani, usalama, soko la kutosha na kubwa kwa vile Tanzania iko katika Umoja wa Afrika Mashariki, Ukanda wa Maziwa Makuu na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika,hivyo kuwa na uhakika wa soko kubwa na pana” amesema.
Katika ziara yake Rais pia
amekutana na Mstahiki Meya wa Jiji la London Mama Alderman Fiona Woolf
na kukaribishwa rasmi Jijini London. Mstahiki Meya anatarajia
kutembelea Tanzania, Mwezi Septemba Mwaka huu.
Rais alipowasili London tarehe 30
Machi,2014, alikutana na Watanzania wanaoishi nchini Uingereza na
kuwaeleza maendeleo yaliyopo nchini Tanzania.
Rais anaendelea na ziara yake nchini Uingereza
Mwisho.
Imetolewa na;
Premi Kibanga.
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
London Uingereza
31 Machi, 14
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
London Uingereza
31 Machi, 14
Popular Posts
-
CLICK HAPA LIKE PAGE YETU KWA NEWS UPDATES ZA KILA SIKU
-
1. LADY JAY DEE NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ...
-
Waombolezaji 12 waliokuwa njiani kuhani msiba wa mtoto aliyepoteza maisha baada ya kusombwa na mafuriko, wamefariki duni...
-
Manchester City 1-0 Swansea Click here for the live goals as they go in Man City: Hart, Richards (Kolo Toure 85), Nastasic, ...
Followers
My Blog List
-
4WD, Fully loaded, Toyota IST at Nippon Motors (TZS 0) - Available for viewing at our showroom in Kinondoni Makaburini or call us to arrange a test drive.24 minutes ago
-
MDADA ASAMBAZA PICHA ZAKE ZA UT*PU MTANDAONI KISA AWAPE MAJARIBU WANAUME - [image: clip_image001]*Hapa Natasha akiwa na nguo za heshima kwenye jamii.* Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni msichana ambae yuko karibu na Natasha a...31 minutes ago
-
ANGALIA MAJINA WALIOITWA KWENYE USAIL CHUO KIKUU DODOMA - *THE UNIVERSITY OF DODOMA WISHES TO ANNOUNCE INTERVIEW FOR ACADEMIC* *STAFF FOR COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION ON THE* *FOLLOWING ARRANGEMENTS:...36 minutes ago
-
TOKOMEZA UJANGILI :WAZIRI NYALANDU AZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA KUKAMATWA KWA MAJANGILI 6 NA MENO YA TEMBO 53 - [image: DSCF3201] Waziri wa maliasili na utalii Mh.Lazaro Nyalandu akizungumza na wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha juu ya kukamatwa...1 hour ago
-
KAJALA AFUNGUKA YA MOYONI AWAAMBIA MASHABIKI WAKE WAMUITE MALA$YA MPAKA WACHOKE ILA WASIMUHUSISHE MTOTO WAKE - Kajala atoa ya moyoni kupitia mtandao wake wa jamii wa instagram1 hour ago
-
Wachokozi kwenye mitandao kukomeshwa TZ - *Mikasa ya watu kuibiwa na kudhalilishwa kwenye mitandao imekuwa ikiongezeka kadri teknolojia hiyo inavyosambaa na kuwafikia watu wengi zaidi.* *Lakin...2 hours ago
-
AIRTEL YASAIDIA AFYA YA UZAZI KUPITIA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI - *Airtel Tanzania imetangaza kuendelea kushirikiana na M-Heath Tanzania katika Kampeni ya Wazazi nipendeni baada ya kuwa na ushirikiano wa mwaka mmoja weny...3 hours ago
-
MPYA KABISA: WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO SOMA HAPA ... - Walimu Wa Ajira Mpya 2013 Tangazo Balimu Wa Cheti Diploma Stashahada Shahada3 hours ago
-
Man Walter azungumzia mafanikio ya nyimbo alizomtengenezea Lady Jaydee - [image: 526649_359572260819775_1324611476_n]Producer wa Combination Sounds, Man Walter amesema kufanya kazi na Lady Jaydee aliyemtayarishia hits zake mbili...4 hours ago
-
MASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP YAANZA KUTIMUA MBIO - *MASHINDANO ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii inayowahusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari (NSSF Media Cup) yameanza kutimu...8 hours ago
-
-
AUDIO | Dijah & Namcy - Kantangaze | Download - [image: http://old.hulkshare.com/dl/yk5mr7dwlhj4/%E2%80%98Kantangaze%E2%80%99_Wa_Dijah_Na_Namcy.mp3?d=1]19 hours ago
-
Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini IKULU Mjini Zanzibar - Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiongozana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nch...21 hours ago
-
-
MAJANGILI YAFANYA KUFURU HIFADHI YA WAMI MBIKI - Wanyamapori wakiwamo tembo katika Hifadhi ya Wami Mbiki wapo hatarini kutoweka, kutokana na kasi ya vitendo vya ujangili. Mbali ya ujangili wa wanyamapori...2 days ago
-
Msigallah: Mjadala usiwe wa Muungano pekee - Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Fredri...3 days ago
-
MAY THE SOULS OF ALL THOSE ON FLIGHT MH 370 REST IN PEACE AND MAY GOD GIVE STRENGTH TO THOSE THAT HAVE LOST LOVED ONES TO GET THROUGH THE PAIN AND THIS LONG OR DEAL….. - *Malaysian authorities have finally confirmed that the missing Malaysian Airlines Flight MH370 has been "lost" and all 239 passengers and crew members onb...1 week ago
-
-
MAHAKAMANI KITUMIKE KISWAHILI AU KIINGEREZA? FUATILIA KISA HIKI - Jana https://www.facebook.com/pages/Mwanasheria-Wetu/293470080803061 alitembelea Baraza la Nyumba na Ardhi Kinondoni, Mwananyamala mbele ya Mh. Mtunga, mze...4 weeks ago
-
RAHATUPU;HIVI JAMANI DADA ZETU MTAACHA LIN HUU MCHEZO?? HUYU NAE AANIKA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI TAZAMA PICHA HAPA!! - bongo inazidi kuchafuka kwa matukio machafu hasa ya kupiga picha za utupu na kuzisambaza mtandaoni badilikeni jamani1 month ago
-
Total Pageviews
3142048
No comments:
Post a Comment