Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba
Nkinga akitoa hotuba ya ufunguzi wa kikao cha wadau wa filamu kuhusu
mstakabali wa soko la filamu nchini leo jijini Dar es salaam.
Katibu
Mtendaji Bodi ya Filamu nchini Bi Joyce Fisoo akieleza lengo la kikao
cha wadau wa filamu ni pamoja na kujadili masuala ya maendeleo ya tasnia
ya filamu nchini na mapendekezo ya wadau kuhusu bodi ya filamu kuitisha
mjadala wa wazi wa wadau wa filamu hususani wasambazaji, waandishi wa
miswada na watayarishaji ili kujadili masuala mbalimbali yanayohusu
tasnia hiyo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi
ya wadau wa filamu walioshiriki kikao cha kujadili masuala mbalimbali
ya husuyo tasnia hiyo leo jijini Dar es salaam. Pichani ni wasanii wa
“Bongo Movie” (wa kwanza kushoto ni Steven Mengele “Manyerere”, Emmanuel
Muyamba (katikati) na Jacobo Steven “JB”(wa kwanza kulia)
Pacha
ya pamoja ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Bi. Sihaba Nkinga (wa sita kutoka kushoto mstari wa mbele) baada
ya ufunguzi wa kikao cha wadau wa filamu kuhusu mstakabali wa soko la
filamu nchini leo jijini Dar es salaam.(Picha zote na Eleuteri
Mangi-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment