Watu 15 wameaga dunia katika msongamano uwanjani Kinshasa Ghasia.
Ghasia zilizozuka baada ya mechi ya soka timu
mbili maarufu za Klabu ya ASV na Tout Puissant Mazembe zilipokuwa
zikichuana katika mechi ambayo ingeamua muakilishi wa DRC katika kombe
la bara Afrika mwakani.Refa alilazimika kusimamisha mechi hiyo.
Polisi walirusha gesi ya kutoa machozi ili kutawanya mashabiki waliokuwa wakipambana na kusababisha watu kuanza kukimbia na kukanyagana.
Gavana wa mji wa Kishasa amesema serikali itachunguza tukio hilo na waliohusika watachukuliwa hatua kali.CHANZO BBC
No comments:
Post a Comment