Msanii wa
kizazi kipya, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz leo May 3, 2014
amedhihirisha kuwa yeye ni msanii mkali kwa kuchukua tuzo saba katika
Tuzo za Kilimanjaro 2014 (KTMA).
Diamond amejinyakulia tuzo:
Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.
Hakika Diamond ameonyesha ukali wake, na kuonyesha kuwa yeye ni bora zaidi na anapendwa na watu.
No comments:
Post a Comment