ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, May 20, 2014

Hivi Ndivyo Hayati Michael Jackson alivyotumbuiza kwa hologram Jumapili iliyopita katika tuzo za Billboard - Angalia Video



20140518-135127.jpg

Kwa nguvu ya teknolojia, mashabiki wa muziki waliohudhuria tuzo za muziki za Billboard Jumapili iliyopita (May 18) huko Las Vegas, Marekani walipata nafasi ya kushuhudia live show ya kipenzi cha dunia hayati Michael Jackson ambaye pamoja na kuwa hayuko hai lakini alitumbuiza jukwaani kwa mfumo wa hologram.
Barani Afrika teknolojia hiyo iliwahi kutumika kwa mara ya kwanza mwaka jana nchini Afrika Kusini, ambapo Hayati Brenda Fassie alitumbuiza kwa njia hiyo katika ‘Hansa Pilsner Festival Legends’ mwezi march 2013 huko Johannesburg.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...