Katibu Mkuu wa CCM,Ndg.
Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani
Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha
Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya
Kale,Kisiwani Pemba.Katika hobuba yake,Ndg. Kinana amewataka Wananchi wa
Kisiwani humo,kutohadaika na Wanasiasa wanapita kila mahali kwa lengo
la kulipotosha Taifa,hasa juu ya swala la Muundo wa Serikali katika
Mchakato wa Katiba Mpya.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg.
Abdulrahman Kinana akiendelea kuwahutubia wananchi wa Mikoa miwili ya
Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama
cha Mapinduzi uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja vya Gombani ya
Kale,Kisiwani Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar,Ndg. Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi wa Mikoa miwili ya
Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama
cha Mapinduzi uliofanyika jana kwenye Viwanja vya Gombani ya
Kale,Kisiwani Pemba.
Katibu wa NEC,Itikadi na
Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiwapa somo wananchi wa Mikoa miwili ya
Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama
cha Mapinduzi,uliofanyika kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale, Kisiwani
Pemba.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akiendelea kuzungumza.
Makamu Mwenyekiti UWT,Bi.
Asha Bakari Makame akizungumza kwa msisitizo mkubwa na wananchi wa Mikoa
miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa
Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika kwenye Viwanja vya Gombani ya
Kale, Kisiwani Pemba.
Naibu Katibu Mkuu UVCCM
Zanzibar,Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza machache na wananchi wa
Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi kwenye Mkutano wa
Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya leo kwenye Viwanja
vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Vijana wa CCM, Fatma Juma
Ramadhan (kushoto) na Halima Juma Hajj wakighani mashairi mazuri ya
kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana (hayupo
pichani).
Sehemu ya picha mbali mbali
za wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba wakifuatilia Mkutano wa
Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika jioni ya jana kwenye Viwanja
vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.(Picha zote na Othman Michuzi).
No comments:
Post a Comment